Jaji Mkuu Koome asema maombolezi ya hakimu Kivuti ni Jumanne

  • | Citizen TV
    1,445 views

    Mzozo unatarajiwa katika idara ya mahakama baada ya majaji na wafanyakazi wengine kupinga tangazo la Jaji Mkuu Martha Koome kutaka shughuli kuendelea kama kawaida. Agizo la Jaji Mkuu likijiri baada ya chama cha majaji na mahakimu kutangaza kuwa hawatafanya kazi juma lijalo wakidai usalama bora.