- 461 viewsDuration: 1:28Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na unywaji pombe na dawa za kulevya NACADA kupitia timu ya mashirika mengi imemkamata mshukiwa mkuu wa ulanguzi wa dawa za kulevya maarufu mjini Naivasha ambaye mtandao wake ulilenga hadi kaunti jirani zinazopakana na ya Nakuru, shehena kubwa ya bangi yenye thamani inayokadiriwa ya zaidi ya Sh1 milioni ikinaswa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya