Jamii ya Endorois yaandaa tamasha la kitamaduni

  • | Citizen TV
    67 views

    Jamii ya Endorois inayoishi kando ya Ziwa Bogoria huko Baringo Kusini iliadhimisha siku ya Kimataifa ya Watu Wa Asili kwa kutoa wito wa uhifadhi wa utamaduni na mazingira