- 151 viewsDuration: 1:40Jamii ya Endorois imepata ushindi mkubwa wa kihistoria katika kesi dhidi ya Serikali kuhusu kutangazwa kwa eneo kubwa la Arabal katika Kaunti ya Baringo kuwa ardhi ya msitu,uamuzi ambao pia unaathiri ardhi inayohifadhi Shule ya Msingi ya Loromoru, iliyobomolewa na Huduma ya Misitu Kenya (KFS) mwezi uliopita.