- 824 viewsDuration: 2:46Jamii ya Gabra inayopatikana kaskazini mwa nchi, ina njia yake ya kipekee ya kumkaribisha mgeni. Jamii hiyo hutumia kipande cha ngozi ya mnyama kutengeza zawadi inayojulikana kama "Medich" ambayo huvishwa mgeni mkononi kama njia ya kumkaribisha.