Jamii ya Ilchamus yapata kaunti ndogo ya Ilchamus

  • | Citizen TV
    245 views

    Jamii ya Ilchamus,ambayo ni jamii ya Maa wanaoishi kaunti ya Baringo wamefurahia kubuniwa kwa kaunti ndogo ya Ilchamus wakisema kuwa itawasaidia kupata huduma za serikali karibu nao.