Jamii ya Ilkaputie yaanda hafla maalum ya rika mpya

  • | Citizen TV
    164 views

    Jamii ya Ilkaputie Inayopatikana Kajiado mashariki ni jamii ya Wamaasai imeanzisha rika mpya ambayo inajumuisha wavulana wenye umri wa chini ya miaka 15, ambao utadumu kwa miaka saba kabla ya rika nyingine kuanzishwa tena.