Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Maa yaelezea matumaini ya kunufaika zaidi na mbuga ya Amboseli

  • | Citizen TV
    253 views
    Magavana watatu kutoka jamii ya Maa katika kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wameipongeza serikali ya kenya kwanza kwa kurejesha usimamizi wa mbuga ya Amboseli kwa kaunti ya Kajiado. Wakizungumza kwenye Sherehe za Kitamaduni za Jamii hiyo huko Amboseli , wanasema Jamii hiyo imekuwa ikiwasilisha ombi hilo kwa serikali zilizopita bila mafanikio, lakini sasa wanajivunia kuwa sasa wakazi wa kajiado watapata manufaa zaidi ya mbuga ya Amboseli.