Jamii ya Torobeek inataka kutambuliwa rasmi

  • | Citizen TV
    284 views

    Jamii ya Torobeek waanaoishi katika maeneo Mbalimbali humu nchini wametaka serikali kuwatumbua kama mojawapo ya jamii ndogo zilizotengwa kimaendeleo nchini Kenya.