- 171 viewsDuration: 2:15Jamii ya wafugaji kutoka kaunti ya pokot magharibi inaitaka tume ya uchaguzi IEBC kuiongezea muda wa usajili wa wapiga kura kwani wengi wao walikuwa nchini Uganda wakitafuta malisho ya mifugo, hali iliyowafanya kukosa nafasi ya kushiriki zoezi hilo muhimu.