Jamii ya Waislamu Tongaren inalalamikia kunyakuliwa kwa ardhi ya Msikiti

  • | West TV
    69 views
    Jamii ya waislamu kaunti ndogo ya Tongaren imeitaka idara ya ardhi kuingilia kati ili warejeshewe kipande chao cha ardhi kinachodaiwa kunyakuliwa na bwenyenye mmoja aliyeweka ua mahala pao pa kuabudu kwa zaidi ya miezi mitatu sasa