- 1,366 viewsDuration: 1:49Viongozi pamoja na wakazi kutoka jamii ya Wakalenjin wanaoishi katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado walikongamana na kuwasha mishumaa kumuomboleza Aliyekuwa Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng’eno pamoja na watu wengine watano walioangamia kwenye ajali ya helikopta huko Nandi.