Jamii yaitaka serikali kuirejeshea umiliki wa mashamba

  • | Citizen TV
    180 views

    Tume ya kitaifa ya ardhi nchini NLC imeiagiza Serikali ya Kaunti ya Samburu, kuandikia bunge la Kaunti ya Samburu Barua kuhusu kupitisha hoja ya kutaka mashamba yanayozingirwa na utata wa umiliki kurejeshewa jamii