- 168 viewsDuration: 2:06Viongozi kutoka jamii pana ya Ateker inayojumuisha Waturkana wa Kenya,Toposa wa Sudan kusini,Nyangatom wa Ethiopia na Karamoja wa Uganda,wamekongamana mjini Lodwar ili kuzindua rasmi baraza la wazee watakaoongoza shughuli ya uwiano na utangamano wa jamii hizo.