Skip to main content
Skip to main content

Jamii za Orma na Degodia zazozana, viongozi watoa wito wa amani

  • | KBC Video
    221 views
    Duration: 1:36
    Baadhi ya viongozi katika Kaunti ya Tana River wametoa wito wa amani kufuatia mapigano kati ya jamii za Orma na Degodia katika eneo la Bura.Wakizungumza katika mji wa Madogo, viongozi hao wamezitaka jamii zote mbili kusitisha mara moja uhasama na badala yake kukumbatia mazungumzo kama njia ya kurejesha utulivu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive