- 723 viewsDuration: 2:13Jamii za Jamii za Talai,Terik na ile ya Ogiek wanaoishi katika kaunti ya Nandi hii leo zimepata fursa kuwasilisha maombi yao kuhusu changamoto wanazozipitia mara kwa mara hususan maswala yanayowafanya kubaguliwa katika maendeleo.