Jamii zilizohamishwa kutokana na uchimbaji madini kaunti ya Kwale zataka zilipwe ruzuku mapema

  • | Citizen TV
    48 views

    Waathiriwa wa uchimbaji madini katika kaunti ya Kwale pamoja na mashirika ya kijamii wanaitaka wizara ya madini kuharakisha kuwekwa kwa mfumo utakaotumika kusimamia asilimia kumi ya ruzuku ya madini kwa jamii katika kaunti hiyo kama inavyoagizwa kwenye sheria ya madini ya mwaka wa 2016.