Jaribio la kupanda miti ya mikoko 30,000 kwa saa 24

  • | Citizen TV
    175 views

    Mwanamazingira mmoja mwenye umri wa miaka 30 amefanya jaribio la kupanda miti ya mikoko 30,000 kwa muda wa saa 24 ili kuvunja rekodi ya dunia ya guinness. Jimi cohen ambaye ni raia wa australia amefanikiwa kupanda jumla ya miti 30,279 chini ya uangalizi wa maafisa wa shirika la huduma kwa misitu nchini (kfs) katika eneo la majoreni kauti ya kwale. Na kama anavyo tuarifu lawrence ng'ang'a cohen amefanya zoezi hilo ambalo ni jaribio lake la tatu usiku na mchana bila kusita ikiwa pia ni juhudi yake ya kukabili mabadiliko ya hali ya anga