- 11,625 viewsDuration: 1:29Viongozi wa dunia wameanza kukusanyika mjini New York kuelekea Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, unaoanza Jumanne. Katika baraza la usalama la UN, kuna wanachama wa kudumu watano pekee na hakuna hata mmoja kutoka bara la Afrika. - Kumekuwa na wito wa mabadiliko ya hali hiyo lakini je, kuna uwezekano wowote wa jambo hili kutokea hivi karibuni? Waihiga Mwaura wa BBC Africa yupo kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuchunguza hilo. - - #bbcswahili #UNGA #newyork Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw