Je David Maraga ndio rais wa Gen Z Kenya

  • | BBC Swahili
    4,831 views
    Katika siku za hivi karibuni, jina la aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga limekuwa gumzo mitandaoni, likiambatana na tagi kama #MaragaForPresident na #MaragaisMyPresident2027. Kuonekana kwake kwenye maandamano na misimamo yake ya wazi kumechochea imani kwamba anaweza kuwa sauti ya mabadiliko. Je, ataweza kutoka kwenye kivuli cha ustaafu na kuvutia wakenya wote hadi debe la kura? Mwandishi wa BBC Laillah Mohammed ametuandalia taarifa hii. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #kenya #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw