Je, kumwaga manii usingizini ni ishara ya ugumba?

  • | BBC Swahili
    2,197 views
    Shirika la afya duniani WHO linasema kwamba, mvulana anapobalehe, viwango vyao vya homoni ya testosterone vinapanda, hali ambayo inachangia kumwaga manii wakati anapolala. Je unajua jambo hili ni sawa tu na hedhi kwa wanawake. Hakuna haja ya kuona aibu au wasiwasi?. Mwandishi wa BBC @frankmavura anaelezea kwa kina kuhusiana na sababu za mwili wa mwanaume kufanya hivyo. #bbcswahili #afya #wanaume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw