Je, kuna njama ya kumwondoa Edwin Sifuna kutoka uongozi wa chama cha ODM?

  • | NTV Video
    49,504 views

    Matamshi ya Katibu Mkuu wa chama cha ODM, Edwin Sifuna, ya hivi karibuni dhidi ya mkataba wa makubaliano kati ya chama chake cha ODM na chama tawala cha UDA yameibua mjadala mkali kuhusu hatma yake ndani ya ODM.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya