Je, makubaliano ya amani kati ya Rwanda/DRC yatadumu?

  • | BBC Swahili
    1,158 views
    Ijumaa 27/06/2025 kulikuwa na mkutano huko Washington DC kati ya mataifa jirani DRC na Rwanda, na Rais wa DRC Felix Tshishekedi amesema kwamba makubaliano ya amani yaliyotiwa saini katika kikao hicho yanafungua njia ya mwamko mpya wa amani. Lakini je, makubaliano hayo yatadumu?