Skip to main content
Skip to main content

Je mfumo wa ulinzi wa Ikulu uko salama kweli? Ulinzi wa Rais Ruto waingia kwenye mtihani mkubwa

  • | KTN News
    2,574 views
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Maswali mazito yameibuka kufuatia tukio la Jumapili la uvunjaji wa ulinzi wa Rais William Ruto, baada ya mwanamume mmoja kufanikiwa kupenya mfumo wa usalama na kumfikia rais akiwa eneo la Ganze.Viongozi wa usalama bado hawajatoa maelezo ya kina kuhusu utambulisho na nia ya mtu huyo, lakini tukio hilo limeibua mjadala mpana kuhusu uimara wa ulinzi wa viongozi wakuu. Mabadiliko yanaendelea kutarajiwa katika mfumo wa usalama wa Rais Follow the latest updates on the nationwide matatu strike in Kenya as operators protest rising fuel prices. Stay tuned for live coverage, traffic updates, commuter impact, government responses and reactions from across the country. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews