Je, mkutano kati ya Trump na Putin utamaliza vita kati ya Urusi na Ukraine? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,862 views
    Macho yote sasa yanaelekezwa Alaska ambapo Rais Donald Trump na Vladmir Putin watakuwa na mkutano wao wa kwanza wa ana kwa ana katika muda wa miaka sita ili kujadili vita vya Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw