Je, muungano wa Raila na Ruto utawaridhisha waKenya?
Rais wa Kenya William Ruto na Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga, wametia saini rasmi mkataba wa kisiasa kufanya kazi pamoja. Mkataba kati ya chama tawala cha Ruto cha United Democratic Alliance (UDA) na Orange Democratic Movement (ODM) cha Odinga umetiwa saini rasmi leo Ijumaa mjini Nairobi. Viongozi wa pande zote mbili walifika katika jumba la KICC kushuhudia kutiwa saini kwa mkataba huo wa makubaliano ambao utahusisha utekelezaji wa masuala kumi. Miongoni mwa masuala hayo ni utekelezaji kamili wa ripoti ya Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano (NADCO) ambayo ilitokana na maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa 2022, baada ya Raila kudai kuwa kulikuwa na udanganyifu katika uchaguzi huo.
Masuala mengine ni ushirikishwaji wa watu wote katika serikali, uongozi bora, kudhibiti deni la kitaifa, na kupambana na ufisadi.
#williamruto #railaodinga #kenya #siasa #bbcswahili #bbcswahilileo
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion