- 1,225 viewsDuration: 4:10Uamuzi wa Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kushirikiana na serikali ya kitaifa katika utekelezaji wa majukumu matatu muhimu ya kaunti, umeibua upya mjadala iwapo Kaunti ya Jiji la Nairobi inapaswa kubaki kaunti ya kawaida, au ipewe hadhi maalum yenye mfumo tofauti wa uongozi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya