Je ni kweli bidhaa za 'Kubana' Uke zinafanya kazi?

  • | BBC Swahili
    484 views
    Tahadhari: Maudhui ya afya ya sehemu za siri Wanawake mpo? Je ni kweli bidhaa za 'Kubana' Uke zinafanya kazi? Umewahi kuona matangazo ya bidhaa zinazodai kubana uke? Tuongee kuhusu hili Kwasababu mitandaoni kumejaa bidhaa za 'kubana' uke kuanzia Krimu, vijiti vya mitishamba, hata kujifukiza na mvuke? Swali ni kuu ni Je, zinasaidia au ni hatari? Ungana na mwandishi wa BBC @Leila Mohammed akichambua mada hii vizuri na kukupa njia mbadala ya kuweza kubana uke kupitia mazoezi. 🎥: @Frank Mavura - - #bbcswahili #wanawake #afya #kenyantiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw