Skip to main content
Skip to main content

Je ni vigezo gani hutumika kwa mtu kuwa Mtakatifu wa Kanisa Katoliki?

  • | BBC Swahili
    943 views
    Duration: 2:03
    Mtakatifu wa kwanza wa kizazi cha milenia ametangazwa rasmi huku maelfu ya watu wakihudhuria ibada hiyo iliyofanyika mjini Roma siku ya Jumapili. Carlo Acutis, alifariki mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 15 kutokana na ugonjwa wa saratani ya damu. Alitengeneza tovuti kwa ajili ya kuonesha miujiza ya Ekaristi ili kueneza mafundisho ya Kanisa Katoliki, ambapo baadhi ya watu waliaanza kumtaja kama “mshawishi wa Mungu” Beldeen Waliaula anaelezea #bbcswahili #roma #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw