Skip to main content
Skip to main content

Je, Rais Ruto alisema ukweli kwenye hotuba yake kwa taifa?

  • | NTV Video
    8 views
    Hotuba ya hali ya taifa ya Rais William Ruto ilivuta macho ya wakenya kote nchini, wengi wakisubiri majibu kuhusu gharama ya maisha, elimu, afya na maendeleo ya nchi. lakini nyuma ya takwimu na kauli zilizotolewa, ukweli mwengine umeibuka ukionyesha madai yaliyo kweli, mengine yaliyozidishwa, na mengine yaliyokwenda kinyume kabisa na takwimu za kitaifa na kimataifa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya