Wanasiasa sasa wanaibua tetesi kwamba walimu wanatumika kama chombo cha kisiasa kabla ya uchaguzi wa mwaka wa 2027. Hii ni baada ya rais William Ruto kufanya mkutano na walimu 10,000 ikuluni, wiki chache zilizopita.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya