Skip to main content
Skip to main content

Je Taifa stars wataweza kuifunga Tunisia na kusalia AFCON?

  • | BBC Swahili
    8,676 views
    Duration: 1:34
    Mataifa ya Tanzania na Uganda leo yanacheza michezo yao ya mwisho ya hatua ya makundi ya michuano ya Afcon, Timu hizi mbili za Afrika mashariki zinahitaji matokeo ya ushindi tu , katika michezo yao ili kusalia katika mashindano haya. Mwandishi wa bbc Omary Mkambara alitembelea kambi ya Taifa Stars na ile ya Tunisia wakati wa mazoezi ya mwisho ya timu hizo na ametuandalia taarifa ifuatayo kutoka Rabat Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw