Skip to main content
Skip to main content

Mustakabali wa Venezuela baada ya rais wa mpito kuapishwa: Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    31,934 views
    Duration: 28:11
    Nchini Venezuela, maelfu ya wafuasi wa Nicolas Maduro walikusanyika katika mji mkuu wa Caracas, wakitaka arejeshwe pamoja na mke wake. Washirika wa Venezuela, Urusi na China, walikosoa operesheni ya kijeshi ya Marekani wakati wa kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. #Trump #Venezuela #Maduro #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw