Je, Tanzania na DRC watatamba WAFCON?

  • | BBC Swahili
    686 views
    Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) zinaanza wikendi hii, ambapo mataifa 12 yatachuana kuwania taji hilo nchini Morocco. Mechi 26 zitachezwa katika viwanja 6 vilivyopo katika miji 5 tofauti. Afrika Mashariki inawakilishwa na DRC na Tanzania. Sasa je, Twiga Queens ya Tanzania wataweza kutamba na kuleta kombe nyumbani? @RoncliffeOdit anatuletea hayo na mengine mengi katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #WAFCON2025 #dirayadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw