Skip to main content
Skip to main content

Je Trump atafanya ‘Jeans’ ziadimike Afrika?

  • | BBC Swahili
    10,212 views
    Duration: 50s
    Serikali ya Marekani imesema kwamba inawazia suala la kuongeza kwa angalau mwaka mmoja, muda wa kutekelezwa kwa mpango wa kibiashara wa AGOA ambao umewezesha mataifa zaidi ya 30 kuingiza bidhaa zao nchini Marekani bila ya kutozwa ushuru. Mpango huo wa AGOA ambao ulianzishwa mwaka wa 2000 na serikali ya Bill Clinton umeonekana kutotakiwa na serikali ya Rais Donald Trump ambayo sasa imeamua kutoza mataifa mbalimbali ushuru wa viwango vya juu. Ikiwa Marekani itaamua kuitupilia mbali AGOA, Afrika itajifaa vipi kibiashara? @RoncliffeOdit anachambua suala hili kwa kina leo saa tatu usiku kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube wa BBc Swahili. - - #bbcswahili #tanzania #kenya #marekani #diratv