Je, unajua zao la nafaka lililokuwa linazalishwa zaidi Zimbabwe

  • | VOA Swahili
    101 views
    Je, unafahamu namna Zimbabwe ilivyokuwa inazalisha mahindi kwa ajili ya kupika uji mzito, ambao unatumika kama chakula kikuu nchini? Lakini hivi sasa shamba hili linatumika kwa kilimo nafaka ndogondogo. Ungana na mwandishi wetu akieleza namna wakulima nchini humo wanavyonufaika na kilimo hiki mbadala ambacho kina wawezesha wakulima kuzalisha zao hilo kwa urahisi. Endelea kusikiliza... #zimbabwe #mahindi #uji #chakula #shamba #nafaka #wakulima #kilimo #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.