Je unakijua kisima cha kifo India

  • | BBC Swahili
    938 views
    Ni onyesho la kushangaza kaskazini mwa India ambapo madereva hushindana kwa kutumia pikipiki na magari yao ndani ya shimo lililotengenezwa kwa muundo wa mbao linalofanana na pipa, ambalo hujulikana nchini huko kama 'kisima cha kifo'. Lakini ni wachache tu waliobaki kwani vijana wanataka maisha tofauti. #bbcswahili #india #kisimachakifo