Je unaweza kuvaa gauni la harusi ambalo limeshavaliwa na mtu mwinngine?

  • | BBC Swahili
    293 views
    Vazi la siku ya harusi ni moja ya vitu muhimu na vya gharama kubwa ambalo huvaliwa kwa siku hiyo au pengine kwa saa chache tu hivyo ili kupunguza gharama wengine hukodisha magauni au kununua ya mtumba. Lakini katika baadhi ya mila na tamaduni za Kihindi ni vigumu kukodi au kununua kitu ambacho kimevaliwa kutokana na imani kuhusu nguo za mitumba. Maharusi hawa wanaelezea utamaduni huo na maoni yao #bbcswahili #india #ndoa