Skip to main content
Skip to main content

Je utasherehekea kwa mtindo gani kama ukitimiza miaka 105?

  • | BBC Swahili
    2,059 views
    Duration: 28s
    Babu huyu yeye amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 105 kwa kuruka na parachuti akiwa na mwalimu wake wa parachuti huko Barre, New York. Familia yake na marafiki walikusanyika kumshuhudia ikiwa ni kumbukumbu ya hatua hiyo muhimu ya maisha yake. #bbcswahili #newyork #kumbikumbuyamiaka105 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw