Je, Wasanii wanafaidika na kukua kwa mapato ya muziki?
#muziki#mitandaoyakijamii #kenya Ripoti ya ya hivi karibuni kuhusu muziki barani Afrika inaonesha kwamba mapato kutoka kwa tasnia ya muziki ilikua kwa angalau asilimia 22 mwaka jana.
-
Mapato hayo yaliongezeka kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijami katika mataifa mengi barani Afrika.
-
Lakini je, wasanii wetu wamefaidika kwa mapato hayo? Na nini lazima msanii afanye ili aweze kufaulu kimuziki, lakini pia awe na mapato zaidi?
Mwandishi wa BBC Roncliffe Odit amezungumza na Kathambi Mirero, ambaye ni mwenezi wa muziki, pamoja na mwanamuziki Iyanii kutoka Kenya, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya …
#bbcswahili #muziki #vijana #mitandaoyakijamii #kenya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Jun 2025
- The police constable who was first arrested in connection to Ojwang's death has spoken up.
16 Jun 2025
- The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
16 Jun 2025
- The late Albert Ojwang's father revealed details of a phone conversation with the president.
17 Jun 2025
- Yesterday, June 16, 2025, was International Domestic Workers Day, set aside by the United Nations and observed globally to recognise the significant contribution of domestic workers to the economies of families, communities, nations and the world.…
17 Jun 2025
- According to Pastor John Njoroge from PISGHA Academy, the medical camp had come at the right time, as families were undergoing untold suffering.
17 Jun 2025
- Kenya’s top paralympic athletes could feature at this month’s National Athletics Championship after the Kenya National Paralympic Committee (KNPC) formally petitioned Athletics Kenya (AK) to include them in the three-day competition slated for June 26-…
17 Jun 2025
- Jerop's Russian partner told her that his ailing father wanted to meet their one-year-old daughter.
17 Jun 2025
- Nairobi county government, headed by Governor Johnson Sakaja, spent Ksh3.3 billion in the last nine months on legal fees, garbage, and other creditors’ expenditures, yet it only spent a paltry Ksh2.43 billion in the development budget, representing 17…
17 Jun 2025
- Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
17 Jun 2025
- Power wrangles rock Kaimosi Friends University over VC job
17 Jun 2025
- Gachagua credits survival to State insider network
17 Jun 2025
- KQ searches for new partner to set up regional airline after S Africa bolts out
17 Jun 2025
- Who benefits from CBK's low lending rates?