Jenerali Ogolla aliambia familia yake kwamba atakapofariki, azikwe kabla ya saa sabini na mbili

  • | Citizen TV
    13,006 views

    Kabla ya Jenerali Ogolla kufariki, aliambia familia yake kwamba atakapofariki, azikwe kabla ya saa sabini na mbili.