Jeshi la polisi Dar es Salaam latoa onyo kwa CHADEMA
"Jeshi la polisi linatoa onyo kali kwa wale wote wanaopanga kutekeleza mpango huo kuwa watashughulikiwa vikali lakini kwa mujibu wa sheria"
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limetoa onyo dhidi ya mpango wa Chadema kuhamasisha watu kukusanyika Mahakama ya Kisutu April 24 ili kumuunga mkono kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu atakapofikishwa Mahakamani hapo
Onyo hilo limekuja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche kusisitiza watu kujitokeza kwa wingi siku hiyo
Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu, alifunguliwa kesi kwa shutuma za uhaini baada ya kukamatwa mkoani Ruvuma alipokuwa kwenye kampeni ya kushinikiza mageuzi kwenye Tume ya Uchaguzi kabla ya uchaguzi wa mwezi Oktoba.
-
#bbcswahili #tanzania #uongozi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project