- 676 viewsDuration: 2:12Wanajeshi wa Uganda wamekanusha kujua waliko wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo waliotoweka nchini humo wiki tatu zilizopita. Taarifa ya jeshi katika mahakama kuu ya Kampala imesema wamefanya uchunguzi na kuwatafuta wawili hao kwenye vituo vyao, ila hawako mikononi mwao