13,298 views
Duration: 1:24
Jeshi la Nepal limeshika doria katika mitaa ya mji mkuu Kathmandu, baada ya taifa hilo kukabiliwa na machafuko mabaya zaidi kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa.
Maandamano ya kupinga ufisadi na upendeleo serikalini yaligeuka na kuwa vurugu siku ya Jumanne.
Waziri mkuu alijiuzulu huku nyumba za wanasiasa zikiharibiwa, majengo ya serikali yakichomwa moto na bunge lilivamiwa na kuchomwa moto.
@bosha_nyanje anaelezea
#bbcswahili #nepal #genZ
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw