Jinsi msichana anayevalia hijab anavyokabiliana na unyanyasaji wa kimitandao

  • | BBC Swahili
    1,446 views
    Sabrina , 22, kutoka nchini Malaysia na mpenzi mkubwa wa densi ya K-pop , alivyofungua chaneli yake ya Youtube miaka mitatu iliyopita alipoenda kujinga na chuo Kusini mwa Korea ambako ni chimbuko la nyimbo za mtindo wa K- pop. Hakuchukua muda mrefu kabla ya kupata wafuasi zaidi ya 200,000, lakini kama mbunifu wa maudhui ya densi hiyo anayevalia hijab mambo hayajawa rahisi. #bbcswahili#koreakusini #muziki #sanaa #dini