Jinsi mwanafunzi mwenye ulemavu wa kusikia na tawahudi ana mwepesi wa kuelewa masuala ya teknolojia

  • | Citizen TV
    471 views

    Talanta ya mwanafunzi mlemavu Mwanafunzi mwenye ulemavu wa kusikia na tawahudi Mombasa Bramwel Miriti ni mwepesi wa kuelewa masuala ya teknolojia Shule ya masomo maalum ya Tudor yawasaidia wanafunzi walemavu