'Jinsi ninavyoishi na ugonjwa wa kuvuta nywele'

  • | BBC Swahili
    168 views
    Mwimbaji wa Morocco @abirelabedofficial anaelezea jinsi alivyoathiriwa na ugonjwa wa kuvuta nywele zake ambao unaojulikana kama trichotillomania ambao uligunduliwa akiwa na miaka 15 Hapa anaelezea namna ulivyoanza na anavyokabiliana na hali hiyo. 🎥 : @miriamod1 #bbcswahili #moroco #afya