Jinsi visiwa vya historia eneo la Rusinga vinavutia watalii

  • | Citizen TV
    393 views

    Kisiwa cha Rusinga ni mojawapo ya vivutio vikuu katika kaunti ya Homabay. Ni kisiwa ambacho ndani yake pia kuna kisiwa kingine ambacho ni kivutio kikuu cha utalii kutokana na ndege warembo wanaozagaa anga na hata juu ya maji kisiwani humu.