Skip to main content
Skip to main content

Joho aonya dhidi ya viongozi wa ODM kutoa kauli tofauti tofauti kuhusu mustakabali wa chama

  • | NTV Video
    4,192 views
    Duration: 2:36
    Waziri wa madini Ali Hassan Joho ameonya dhidi ya viongozi wa ODM kutoa kauli tofauti tofauti kuhusu mustakabali wa chama, akisema hali hiyo inatishia kuyumbisha chama. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya