- 2,476 viewsDuration: 2:43Msanii mkongwe wa muziki wa Genge nchini Kenya Paul Julius Nunda maarufu kama Juacali @juacalibabayao anasema wasanii wengi wa sasa wamepunguza bidii kwenye uandaaji wa muziki jambo linaloshusha ubora wa kazi zao Akiwa nchni Tanzania wakati wa sherehe za miaka 30 ya Bongo fleva Jijini Dar es salaam aliambia BBC kuwa muziki una mchango mkubwa sana kwenye maisha yake na kwamba sasa anajivunia sana wasanii wachanga ambao wanafanya bidii na wenye nidhamu. @eagansallaameandaa taarifa hii #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw